NEWS

19 Agosti 2018

Mwita Waitara "Naomba Chadema Waache Kunifatilia la Sivyo Ntamwaga Siri zao Hadharani"


Mgombea wa kiti cha Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Jimbo la Ukonga, wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Mwita Waitara, amekionya Chama cha CHADEMA, kuacha kumfuatilia, la sivyo ataanika siri nzito zitakazokipasua kabisa chama hicho.