NEWS

29 Septemba 2019

Rich Mavoko, Lulu Diva, Weusi Wafunika Fiesta Mwanza – VIDEO

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Richard Martin (katikati),  maarufu kwa jina la ‘Rich Mavoko’ akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake Tamasha la Tigo Fiesta Saizi yako usiku wa kuamkia leo Uwanja wa CCM Kirumba,  jijini Mwanza.

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Richard Martin maarufu kwa jina  la ‘Rich Mavoko’,  usiku wa kuamkia leo ametoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake katika Tamasha la Tigo Fiesta 2019 ambalo limefanyika katika katika Uwanja wa CCM Kirumba,  jijini Mwanza.

Mastaa waliopanda kwenye jukwaani  ni Rich Mavoko, Maua Sama, Lulu Diva, Nandy, Marioo, Lunya, TID, Mr Blue, kundi la WEUSI na wengine wengi.

WEUSI Walivyoshambulia JUKWAA La FIESTA MWANZA

MAUNO YA LULU DIVA FIESTA MWANZA “Mi Mchamungu”

The post Rich Mavoko, Lulu Diva, Weusi Wafunika Fiesta Mwanza – VIDEO appeared first on Global Publishers.