NEWS

1 Oktoba 2019

Itakuliza! Msanii Avunjika Mgongo Kimaajabu – Video

KIJANA Zubery Subaha Mkazi wa Bagamoyo mkoa wa Pwani, mwenye umri wa miaka 22 amejikuta hana uwezo wa kuinuka, kugeuka, kusimama wala kutembea baada ya kuangukia shingo wakati akifanya mazoezi ya sarakasi. Ni kijana mdogo ambae bado anauhitaji wa kuendelea kutimiza ndoto zake.

 

The post Itakuliza! Msanii Avunjika Mgongo Kimaajabu – Video appeared first on Global Publishers.