NEWS

1 Oktoba 2019

Kesi ya Kabendera Yapigwa Kalenda

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa habari za uchungizi, Erick Kabendera imeahirishwa hadi Oktoba 11, 2019 itakapotajwa tena. Wakili wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza mahakama kuwa upelelezi wa kesi bado haujakamilika katika maeneo kadhaa.

The post Kesi ya Kabendera Yapigwa Kalenda appeared first on Global Publishers.