Mwanamuziki mkongwe wa kike wa miondoko ya pop Madonna ametajwa kua ndio mtu maarufu mwenye kipato kikubwa kwenye jarida maarufu la forbes lililochapishwa jumatatu, Inakadiriwa kuwa mwana mama huyo ameingiza kiasi cha dolla million 125 mwaka jana, na kumpita Director wa sinema ya Lincoln Bwana Steven Spielberg mwenye kiasi cha dolla million 100.
30 Agosti 2013
Home
Forbes
Habari za Mastaa
News
Madonna ni Mtu Maarufu na Anayeingiza Kipato Kikubwa Spielberg amfunika Winfrey: Forbes
Madonna ni Mtu Maarufu na Anayeingiza Kipato Kikubwa Spielberg amfunika Winfrey: Forbes
Tags
# Forbes
# Habari za Mastaa
# News
About Mrs News Tanzania
News
Category:
Forbes,
Habari za Mastaa,
News