NEWS

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo From Bongo Movies. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo From Bongo Movies. Onyesha machapisho yote

30 Agosti 2014

JB awataka wasanii wa filamu kuacha kuwasema vibaya viongozi wao

13:36
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Jacob Stephan aka JB amewataka wasanii wa filamu kuacha mara moja kuwasema vibaya viongozi wao. JB ambaye n...
Read More

14 Agosti 2014

Yusufu ateseka na Mapenzi, 'Pata Michapo'

07:48
Staa wa sinema za Kibongo, Yusuf Mlela amesema kuwa hahitaji mwanamke kwa sasa kutokana na wanawake wengi aliokuwanao kuwa waongo. S...
Read More

Baada ya Ishu ya Mastaa wa kike kwenda kujiuza mbele , Cathy awalaumu mastaa wa kiume, 'Pata Michapo zaidi'

07:44
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia ku...
Read More

Michapo Mingine! Aunt Ezekiel alivyonaswa na mume wa mtu

07:21
STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel amenaswa live akijivinjari na mume wa mtu, Risasi Mchanganyiko linaripoti bil...
Read More

13 Agosti 2014

31 Mei 2014

Gari alilopata nalo ajali Director George Tyson na picha za saa 4 kabla ya tukio

13:14
Dj Choka ambae kwa sehemu kubwa alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameandika kwenye  http://djchokamusic.com/  kw...
Read More

30 Mei 2014

Exclusive: Ray na JB kufanya filamu nchini Uturuki kutafuta nani mkali kati yao

05:54
Wasanii wakongwe wa filamu nchini, Jacob Stephan aka JB pamoja na Vicent ‘Ray’ Kigosi wanaandaa filamu nchini Uturuki itakayoonesha nani yup...
Read More

27 Mei 2014

Sad News: Bongo Movie wapata Pigo lingine 'Recho Haule' afariki Dunia

08:36
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili j...
Read More

19 Mei 2014

Adam Kuambiana kuzikwa Jumanne katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar

05:22
Mazishi ya muongozaji na msanii wa filamu Adam Kuambiana yatafanyika Jumanne (May 20) katika makaburi ya Kinondni jijini Dar es Salaam. Akiz...
Read More

17 Mei 2014

12 Mei 2014

Nisha: Naona aibu kuangalia filamu zangu za komedi

22:47
Yule msanii wa sanaa za vichekesho nchini, Salma Jabu aka Nisha amesema huingia na aibu kutazama filamu zake za komedi kutokana na vituko an...
Read More

29 Aprili 2014

Huyu ndiye aliyemshawishi JB Kuigiza.

15:53
Msanii mahiri wa maigizo hapa nchini Tanzania, Jacob Steven maarufu zaidi kama JB, ameweka wazi kuwa mafanikio yake makubwa katika sanaa hiy...
Read More

15 Aprili 2014

Hemedy PHD na King Majuto washuti filamu mpya ya Comedy jijini Mwanza

20:46
Hemedy PHD na muigizaji mkongwe Tanzania King Majuto wameshuti filamu yao mpya ya comedy kwa mara ya kwanza jijini Mwanza. Filamu walioipa j...
Read More

Fahamu historia fupi ya mwanadada Wastara Sajuki tangu alipoanza kuigiza mpaka sasa

03:22
Jina: Wastara Sajuki Wastara Sajuki si jina geni kwenye ulimwengu wa bongomovies. Ni mmoja wa wanadada wanofanya vizuri sana kwenye filamu n...
Read More

27 Machi 2014

Filamu mpya ya Wema Sepetu ‘Madame’ Imeingia sokoni leo

17:58
Filamu mpya aliyoigiza Wema Sepetu iitwayo Madame (Our Own Crazy Boss Lady), imeingia sokoni leo alhamisi . Katika filamu hii, Wema ameigiza...
Read More

26 Machi 2014

Picha: Bongo Movie Unit watoa misaada kwa hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar Esa salaam

23:50
Wasanii wa Bongo Movie Unit leo wametembelea katika wodi ya akinamama na watoto katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam na kut...
Read More

19 Machi 2014

18 Machi 2014