Picha za mastaa wa filamu na muziki nchini Tanzania zimetumika kama mapambo katika restaurant moja nchini China. Kwa mujibu wa blog ya Swahiliworldplanet restaurant hiyo inaitwa Medina na haijajulikana kama inamilikiwa na mtanzania au lah, huku picha za Irene Uwoya, Diamond Platinumz, Johari na Vicent Kigosi "Ray" zikitumika kupamba kuta za restaurant hiyo.
19 Machi 2014
Home
From Bongo Movies
Picha; Picha za Diamond Platnumz, Irene Uwoya , Johari zatumika kupamba Restaurant China
Picha; Picha za Diamond Platnumz, Irene Uwoya , Johari zatumika kupamba Restaurant China
Tags
# From Bongo Movies
About Mrs News Tanzania
From Bongo Movies
Category:
From Bongo Movies
