Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage akiongea jambo katika kituo cha kupiga kura.
…Akiendelea kufanya ukaguzi.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage amekanusha habari zinazosambazwa kuwa mawakala wote Monduli wamezuiwa kuingia vituo vya kupigia kura na kwamba jimbo la Ukonga lenye vituo vya kupigia kura 673 uchaguzi unaendelea vizuri.
The post NEC Yakanusha Mawakala Kukataliwa Jimbo la Monduli – Video appeared first on Global Publishers.