Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.
Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
Marehemu Recho Haule enzi za Uhai wake
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
Tutawaletea habari zaidi baadae...
27 Mei 2014
Home
From Bongo Movies
Tragedy
Sad News: Bongo Movie wapata Pigo lingine 'Recho Haule' afariki Dunia
Sad News: Bongo Movie wapata Pigo lingine 'Recho Haule' afariki Dunia
Tags
# From Bongo Movies
# Tragedy
About Mrs News Tanzania
Tragedy
Category:
From Bongo Movies,
Tragedy

