Chege na Temba wameshoot video ya wimbo wao, Wauwe na kuwashirikisha Jokate Mwegelo aka Kidoti na Julio waliogiza kama marubani wa ndege.
Tazama picha za uchukuaji wa video hiyo uliofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Muongozaji wa video ni Adam Juma.
Picha zaidi hapa chini...
27 Mei 2014
Home
Behind the Scene
chegge
Mh; Temba
News
Picha: Behind the scene ya ngoma mpya ya Chegge na Temba 'Wauwe' Pia Utapata kumuona Jokate.
Picha: Behind the scene ya ngoma mpya ya Chegge na Temba 'Wauwe' Pia Utapata kumuona Jokate.
Tags
# Behind the Scene
# chegge
# Mh; Temba
# News
About Mrs News Tanzania
News
Category:
Behind the Scene,
chegge,
Mh; Temba,
News








