NEWS

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo chegge. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo chegge. Onyesha machapisho yote

20 Juni 2014

Music: Chege & Temba Feat Maromboso ~ Wauwe

07:42
Wakata mkaa wenye roho mbaya Chege na Temba wameachia track yao mpya iitwayo WAUWE na wamemshirikisha kijana mmoja kutoka Mkubwa na Wanawe, ...
Read More

27 Mei 2014

Picha: Behind the scene ya ngoma mpya ya Chegge na Temba 'Wauwe' Pia Utapata kumuona Jokate.

08:53
Chege na Temba wameshoot video ya wimbo wao, Wauwe na kuwashirikisha Jokate Mwegelo aka Kidoti na Julio waliogiza kama marubani wa ndege.  T...
Read More

27 Machi 2014

Video: Ge2 ft Chege-Fanya Yako

19:54
Tazama video mpya ya msanii kutoka kwa Mkubwa na Wanae Mwanadada Ge2 akiwa amemshirikisha Chege,wimbo unaitwa Fanya Yako. Itazame hapa
Read More

11 Machi 2014

Music: Julio ft Chege & Madee - Haina Noma

03:13
Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Julio akiwashirikisha Chege na Madee ngoma inaitwa 'Haina Noma' wimbo huu umetaarishwa na Produc...
Read More

19 Desemba 2013

Picha: Behind The Scene ya Utengenezaji wa Ngoma Mpya ya Chegge Chapa Nyingine

10:02
Msanii wa BongoFlavour Chege Chigunda yupo kwenye maandalizi ya video yake mpya ya wimbo wa Chapa nyingine ikisimamiwa na director Adam Juma...
Read More

18 Septemba 2013

Chege na Temba Wapata Shavu la Shoo Ulaya Ni Miezi Mitatu 'Kuanza wiki Ijayo'

07:04
Wasanii wa kitambo wa Kundi la TMK Wanaume Family Chege na Temba wanatarajia kuanza ziara ya miezi 3 barani Ulaya kuanzia wiki ijayo. Akizun...
Read More