NEWS

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Behind the Scene. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Behind the Scene. Onyesha machapisho yote

13 Agosti 2014

Tazama picha za mwanamuziki iyanya kutoka Nigeria akishoot video yake mpya nchini Marekani

09:26
Mwanamuziki iyanya yuko nchini marekani katikaziara yake ya kimuziki, mabali na tour yake hiyo aliyonayoiyanya pia amefanya video yake mpya ...
Read More

12 Juni 2014

Picha: Behind The Scenes Ya Utengenezaji wa Video Mpya ya Kala Jeremiah ‘Simu Ya Mwisho’

19:51
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah ameingia mzigoni hivi karibuni kuanza ku shoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Simu Ya Mwisho’...
Read More

27 Mei 2014

Picha: Behind the scene ya ngoma mpya ya Chegge na Temba 'Wauwe' Pia Utapata kumuona Jokate.

08:53
Chege na Temba wameshoot video ya wimbo wao, Wauwe na kuwashirikisha Jokate Mwegelo aka Kidoti na Julio waliogiza kama marubani wa ndege.  T...
Read More

20 Mei 2014

Picha: Utengenezaji wa video ya wimbo mpya wa Shaa ‘Subira’

04:50
Sarah Kaisi aka Shaa ameshoot video ya wimbo wake mpya, ‘Subira’. Kama kawaida muongozaji wa video ni Adam Juma. Tazama picha hizi za wakati...
Read More

24 Aprili 2014

Picha; Behind the Scene ya wimbo mpya uliofanywa na Wasanii 50 kutoka Tz

07:40
Kutoka Tanzania wasanii 50 wa muziki wa Bongo Fleva, Hiphop, Injili, Dance na Taarab wameungana pamoja na kufanya wimbo wa kuhamasisha Muung...
Read More