Mwanamuziki iyanya yuko nchini marekani katikaziara yake ya kimuziki, mabali na tour yake hiyo aliyonayoiyanya pia amefanya video yake mpya inayokwenda kwa jina la Mr Oreo. Nakualika kutazama picha hizi chache..