Fareed Kubanda aka Fid Q, rapper huyo ameachia ngoma yake mpya ‘Bongo Hiphop’ akimshirikisha P-Funk. Ngoma iyo ameiachia leo katika siku yake ya kuzaliwa Usikilize kwa mara ya kwanza hapa.