Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana halisi pale unapoitazama kwa mara ya kwanza.Midoli hiyo ya Mapenzi imepewa jina la ‘Dutch Wives’, na matangazo ya midoli hiyo yanasema kuwa iwapo mwanaume akifanya nayo mapenzi hawezi kumtamani mwanamke halisi tena. Bei ya midoli hiyo ni £1,000 ( zaidi ya shilingi milioni 2.7) kwa kila mmoja.
Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli.