NEWS

27 Machi 2014

Picha: Hizi ndizo tatoo za Recho, Soma alichokiandika kwenye shingo yake

Msanii wa Miondoko ya Bongo fleva ajulikanaye kwajina la Recho naye leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi Tatoo zake alizozichora mwilini mwake.





Waweza Jionea mwenyewe hapa chini: