NEWS

27 Machi 2014

Avril ashindwa kuzuia upendo wake alionao kwa Mpenzi wake amwandikia "you always find a way to make me feel perfect."

Muimbaji wa Kenya, Avril Nyambura sasa uzalendo umemshinda kabisa na ameamua kuonesha hadharani upendo alionao kwa mchumba wake raia wa Afrika Kusini.




Kupitia Instagram, Avril ambaye tangu aanzishe uhusiano na Msouth huyo hajawahi kuweka picha zinazowaonesha pamoja kwenye mitandao ya kijamii, ameandika:




“I’m not perfect…no one is..but you always find a way to make me feel perfect. I love you boo..now and I pray everyday that’ll be forever. #MafeelingsWednesday.”