NEWS

27 Machi 2014

Picha: Salma Jabu Nisha alipoenda kutembelea kituo cha watoto yatima huko Zanzibar.

Muigizaji wa Bongo Movie Salma Jabu hivi karibuni alitembela kituoa cha kulelea watoto yatima kilichopo uko Zanzibar na kutoa misaaada hii michache kama jinsi inavyoonekana pichani hapa chini!



Hapa Salma Jabu akiwa amepiga picha na Baddhi ya watoto pamoja na walezi wa kituo hicho