Mwanamuzi Maarufu wa Bongo Flava H-Baba Hivi Karibuni amekutwa amembeba mtoto wake mgogoni kwa kutumia mbeleko kama wabebavyo wamama huku akiwa hana habari na mtu.
Alipoulizwa alisema
'napenda kumsaidia mke wangu'(Flora Mvungi ) Kulea mtoto kwani ni
Jukumu letu wote wawili.'