NEWS

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo H Baba. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo H Baba. Onyesha machapisho yote

6 Juni 2014

H.Baba aumwa ugonjwa wa Dengue, alazwa Muhimbili

17:05
Msanii wa muziki na filamu H.Baba amelazwa usiku wa kuamikia leo katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam baada ya kugundukika ana...
Read More

25 Aprili 2014

H.Baba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Tubebane’ aliotumia beat ya ‘Kimbiji’

07:22
Mwanamuziki H.Baba anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya, ‘Tubebane’ ambapo wimbo huo umetengenezwa kwa kutumia beat ya wimbo ‘Kimbiji...
Read More

22 Aprili 2014

Picha: H.Baba amkumbuka James Dandu 'Mtoto wa Dandu" kwa kutembelea kaburi lake Mwanza

16:44
H.Baba ambaye ni msabaye ni msanii wa muziki hivi karibuni alilitembelea kaburi la mmoja wa waasisi wa tuzo za muziki za Tanzania, KTMA na m...
Read More

27 Machi 2014

Picha: Hivi ndivyo H-baba anavyomsaidia mke wake kumlea mtoto wao

16:24
Mwanamuzi Maarufu wa Bongo Flava H-Baba Hivi Karibuni amekutwa amembeba mtoto wake mgogoni kwa kutumia mbeleko kama wabebavyo wamama huku ak...
Read More

27 Novemba 2013

H.BABA AMSIFIA MKE WAKE FLORA, ASEMA ANAZIDI KUWA MREMBO..KUTOA FILAMU

01:44
Msanii wa muziki na filamu nchini H.Baba amesema anawashangaa wale wenye imani kuwa mwanamke akizaa huchoka. Amesema mke wake amekuwa mrembo...
Read More

1 Novemba 2013

H.BABA KUFANYA COLLABO NA FALL IPUPA MWEZI NOVEMBER

04:57
Baada ya kuizungumzia kwa muda collobo yake na staa wa DRC, Fally Ipupa, hatimaye safari ya H.Baba kwenda nchini humo kuifanya imewadia. Sta...
Read More

12 Septemba 2013

Picha: H. Baba na Flora Mvungi wapata mtoto wa kike ‘Tanzanite’

21:38
Ni Furaha kubwa kwa Ndoa ya msanii wa bongo fleva Hamis Ramadhan aka H.Baba na mkewe Flora Mvungi imefanikiwa kupata mtoto wa kike waliyempa...
Read More

21 Julai 2013

H.Baba na Flora Mvungi wanatarajia mtoto, watampa aka ‘Tanzanite’

01:15
Familia za wasanii wa Tanzania zinaendelea kukua. Baada ya Mabeste na Lisa kupata mtoto wa kiume jana waliyempa jina Kendrick, Hamis aka H.B...
Read More