Msanii wa muziki na filamu nchini H.Baba amesema anawashangaa wale wenye imani kuwa mwanamke akizaa huchoka. Amesema mke wake amekuwa mrembo zaidi baada ya kujifungua miezi mitatu iliyopita kiasi ambacho amejikuta akimtamani zaidi.
27 Novemba 2013
H.BABA AMSIFIA MKE WAKE FLORA, ASEMA ANAZIDI KUWA MREMBO..KUTOA FILAMU
Tags
# H Baba
# Habari za Mastaa
About Mrs News Tanzania
Habari za Mastaa
Category:
H Baba,
Habari za Mastaa