NEWS

1 Januari 2019

Picha: Shangwe la Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live

UMATI wa wapenda burudani walivyofunga Jumla Jumla mwaka 2018 na kukaribishwa mwaka 2019 ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.

Wasanii wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wanaounda Kundi la Rostam pamoja na mwanadada, Maua Sama watakinukisha  katika Tamasha la Tunafunga Jumla Jumla.

 

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL

The post Picha: Shangwe la Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live appeared first on Global Publishers.