Staa wa sinema za Kibongo, Yusuf Mlela.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Mlela ambaye ni baba wa mtoto mmoja, alisema hahitaji mwanamke wa aina yeyote kwani wengi wao walimtesa kipindi cha nyuma.
“Kwa sasa mwanamke wangu ni pesa tu na kazi yangu ya sanaa na kuwaza juu ya mtoto wangu aishije baadaye, sitaki mwanangu apate tabu kabisa kwani yeye ni kila kitu kwangu,” alisema Mlela.
+GPL