NEWS

14 Agosti 2014

Tazama video mpya kutoka kwa Victoria kimani f/ Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz - Prokoto

Ile video iliyokuwa ikisubiriwa na wadauwengi wa mziki wa BongoFlava ya Prokoto iliyowashirikisha wasanii kama Diamond Platnum, Ommy Dimpoz imetoka, sasa uanaweza kuitazama hapa . video imeongozwa na director kutoka kenya 'Calvin Bosco' itazame hapa