Katika filamu hii, Wema ameigiza na wasanii wengine wakiweko Simon Mwapagata aka Rado, Sudi Ally, Maulid Ally na Deogratiaus Shija.
Filamu hii imeandaliwa na kampuni ya Simulizi African Entertainment na inasambazwa na Steps Entertainment.
About Mrs News Tanzania