NEWS

27 Machi 2014

Picha: Diamond akurupuka na wigi la Wema Sepetu, Kapendeza au la!

Wema baada ya kuhangaika kulitafuta wigi lake, hatimaye akambamba baby wake kalivaa Lol, akampiga picha, akaitupia Instagram na kuisindikiza na maneno haya: