NEWS

30 Agosti 2013

Picha: Ray C aingia rasmi gym kpunguza ‘Uzito’



Siku kadhaa baada ya kutangaza kurudi kwenye muziki kama zamani Ray C ameanza kujipanga kupunguza unene alionao sasa ili akirudishe kile kiuno chake kisicho na mfupa. Tazama picha zake akiwa gym.