Ben Pol, Joh Makini, Lady Jay Dee na Profesa Jay wametajwa kuwa miongoni mwa wasanii wa Tanzania watakaowasindikiza P-Square kwenye show yao ya November 23, Leaders Club jijini Dar es salaam.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa East Africa Radio inayowaleta wasanii hap mapacha, Peter na Paul Okoye.