NEWS

19 Januari 2014

Picha: Kima kardashian azionyesha picha za North west anavyoendela kukua, zitazame hapa

Mama wa North west 'Kim Kardashian' amezinyesha picha za mtoto wake huyo na jinsi anavyoendela kukua kwa sasa. Kima kardashian alizionyesha picha hizo pindi alivyokuwa kwenye show ya ellen inayokuwa hosted na Ellen Lee DeGeneres ambaye huwaoji mastaa mbali mbali wa nchini marekani kuhusiana na life style zao na n,k.

katika interview yake aliyofanya na kim kardashian katika siku ya ijumaa tarehe 17 january, Ellen Lee DeGeneres aliomba kupata kuona picha za mtoto wa kim kardashian 

Na hii ni mara nyingine tena picha za mtoto huyo zimeonyeshwa baada ya mama yake Kim Kardashian kwenda kwenye interview .

enjoy the snaps below..


Picha Kim Kardashiam akiwasili kwenye show ya ellen how beautfully she is..!











Tazama na Interview yake hapa.....