NEWS

14 Januari 2014

Video: Lulu Katika Movie Mpya ' Family Curse - Laana ya Familia' * New Movie*

Elizabeth Michael anayefaha anayefahamika kwa jina la lulu, Atapata kuonekana katika movie mpya ya Family Curse ambayo ndani ya movie hii kuna Yusuph Mlela, Hashimu Kambi na Cath Rupia.
Muvi hiyo mpya ambayo imeingia sokoni jana inajulikana kama ‘Curse Family’ au ‘Laana ya Familia’ Muvi hiyo tayari imeshaingia mtaani kuanzia leo na kumbuka kuwa muvi zote zinazotoka chini ya Proin Promotion hazina CD mbili yaani part one na part two bali zote huwa ndani ya CD moja tu ili kuacha mchezo wa kuwaibia watanzania kwa udanganyifu mdogo kama huo.




Tazama Tease trailer ya Family Curse hapa chini..


Hii ni tweet inayoonyesha Movie hiyo ya Family Curse iko tayari na inapatikana katika maduka husika town ya movies