Stella Mwangi
Kwa mujibu wa mtandao wa Nairobi News, wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja tangu STL arejee nchini Kenya kushiriki kipindi cha Twende Kazi cha Tusker.
Kwa mujibu wa chanzo kilichoongea na mtandao huo, Jaguar amemlipia mrembo hiyo tiketi ya ndege ya business class ya kurejea Norway.

