NEWS

12 Februari 2014

Music: Ben Pol Ft Joh Makini - Unanichora

Siku chache zilizopita tulikuletea kionjo cha ngoma hii mpya ya Ben Pol inayoitwa 'Unanichora' Ngoma yenyewe full ilikuwa inaachiwa tareh 11/2/2014 ametimiza aadi hiyo baada ya kuachia nyimbo hiyo siku yenyewe huska ya tarehe 11 kama alivyowahaahidi fans wake.



Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Ben Pol inayoitwa Unanichora hapa chini..