NEWS

1 Februari 2014

Music: Ommy Lax ft Bhoke - Nitaanzaje

Sikiliza wimbo mpya kutka kwa msanii anayetambulika kwa jina la Ommy Lax, kama aukuwai kumsikia sikiliza ngoma yake hapa au tazama video yake hapa , utajua namuongela msanii gani na mwenye uwezo wa kufanya kitu gani katika industry hii ya muziki wa Bongo Flavor .

Ngoma inaitwa 'Nitaanzanje' unataka kujua ni kwa nini Ommy Lax alikifikiria idea hii ndio ingefit katika wimbo huu? au labda ni kwa nini aliimba yale aliyoimba katika truck hii...



Chukua muda wako wa kuweza kusikiliza ngoma hii aliyoimba Msanii Ommy Lax na kumpa shavu Mwadada Bhoke jina la wimbo 'Nitaanzanje'...Enjoy the Song