Tazama video mpya kutoka kwa Member wa Young Money Tyga hapa video inaitwa Young Kobe, Mpango mzima wa video umedirectiwa na Alex Nazari,Enjoy the video below.....