Perfume ni moja ya ugonjwa mkubwa sana wa Wema,tena siyo perfume tu za kawaida ila zile expensive original ones zenye brand ya kimataifa,kwa mtu anayefuatilia sana mambo haya ya perfume,utagundua kwamba wadada wengi hutumia perfume zaidi ya moja katika siku,na kwa wiki anaweza asirudie perfume aliyoitumia jana au juzi yake,kutokana na mapendekezo ya mtu,ila kwa Diva huyu wa Bongo she is addicted to perfume.
Diamond nae si kipofu kujua nini babe wake akipendacho and he knows how to spend some few dollas on her na kuzidi kumchanganya zaidi na zawadi za hapa na pale pale anapotoka tu nje kidogo ya bongo kuweza kutoa surprize,its everygirl dream kupata zawadi za hapa na pale bila kutegemea ,siyo lazima zile kubwa za kuweza kukufanya uingie cost kiviile ila some times ndogo ndogo tu kama perfumes huwa ni moja ya zawadi tosha sana,na ni moja kati ya vitu avifanyavyo kwa babe wake huyu wa mda mrefu.
Hii inaonyesha kuwa this time around hawako ready ku-mess things up,this time its going to be a litle different,hii ni moja ya star couple ambayo mbali na kupitia misukosuko ya hapa na pale ikiwemo kuachana na kurudiana,ila wawili hao inaonekana hakuna kinachoweza kuja kati yao na kuweza kuwatenganisha,they stil prove a point kwa wale wanaodhani kuwa hawata-last longer,this has been the most famous celeb couple of all time.