
Ray C kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika Maneno kadaa ya kumshauri mpenzi wake huyo wa Kitambo kubadilika na kuijitambua uku akisisitiza kumuombea kwa mungu ili aweze kubadilika mfumo wake wa maisha.
Ray C akiwa na Rapper Lord Eyez Enzi za Mapenzi yao..
Hapa chini kunapost inayoonyesha kile alichokipost mwanadada Rehema Chalamila kuhusiana na Kukamatwa kwa Laazizi wake wa Kitambo