Kanye West na mama mtoto wake wanaonekana wamepoz huku wakiwa ndani ya mavazi yanayoonesha kama vile wako katika tukio la kufunga ndoa ama kuvishana pete.
Katika maelezo yaliyotolewa na jarida la Vogue, mtoto wao North West pia amehusika katika jarida hilo hivyo kuikamilisha familia nzima.
“Watch out behind the scenes video with Kim Kardashia, Kanye West, and baby North on the April cover shoot with Annie Liebovitz.” Yanasomeka maandishi ya jarida hilo.
