Makamua ameachia single yake mpya aliyomshirikisha Mkali Kwanza mwenzie, Joslin. Single inaitwa Nitakulinda na imetengenezwa na Davie Dizzo na Manesseh wa Legendary Music, Isikilize na kuidownload hapa @Bongo61