Chukua muda wakokutazama picha za wasanii mbalimbali waliotumbuiza kwenye show ya Kili Music Awards 2014.Madancer wa bendi ya Twanga Pepeta wakiwasubiria wenzao wa Extra Bongo walipokuwa wakishindana kutoa showCredit:Bongo5