NEWS

5 Juni 2014

Music: Bob Junior - Ukweli Wangu

Sikiliza hapa ngoma Mpya kutoka kwa Bob Junior baada ya Misuko suko ya kugombana na Mkewe ameachia wimbo ambao unahusu yote yaliyo tokea ngoma inaitwa “Ukweli Wangu”