NEWS

17 Juni 2014

Music: G-Unit – They Talked about Jesus

Lile kundi la G-Unit lilokuwa kimya kwa muda mrefu sasa limeamua kuachia ngoma Mpya nyingine kama njia ya kuikaribisha albam yao inayotarajiwa kutoka November, mwaka huu. ngoma inaitwa “They talked about Jesus”