Yule Mrembo wa young Killer Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper wa ‘Mrs Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines kwa picha zake kwenye mtandao wa Instagram. Na sasa ameamua kuwaonesha followers wake umbo lake lililomfanya apate cheo cha ‘Umrs Supastaa’ kutoka kwa Young Killer. Jionee.
6 Juni 2014
Home
Photos
Young Killer
Picha: Mrembo wa Young Killer aonesha kwenye swimming pool kilichomfanya apewe nafasi ya ‘Umrs Supastaa’
Picha: Mrembo wa Young Killer aonesha kwenye swimming pool kilichomfanya apewe nafasi ya ‘Umrs Supastaa’
Tags
# Photos
# Young Killer
About Mrs News Tanzania
Young Killer
Category:
Photos,
Young Killer