NEWS

8 Agosti 2014

NOMA SANA ! LULU AZUA GUMZO KUBWA BAADA YA KUPOST PICHA HII MTANDAONI,. CHECK OUT THE PHOTO.

Haijafahamika kuwa msanii wa Bongo Movie Diana 

Elizabeth Michael maarufu kwa jina la LULU kama alikuwa 

akihudhuria mazoezi GYM hadi alipo share leo picha hiyo 

hapo juu akiwa kaonyesha umbolake lilivyo sasa na 

kuandika haya maneno...



...Nimeshakuwa mwalimu.....!!!! #kihomehome #fitness #mdogomdogo''
Wengi wa fans wake wame comment picha hiyo kwa kumpa 

pongezi jinsi anavyo tengeneza mwili wake usiwe manyama 

uzembe nakupoteza mvuto kama baadhi ya wasanii wa 

muziki na filamu za hapa Bongo.