Diamond Platnumz yuko jijini mwanzan kwa ajiliya Shoo ya Serengeti Fiesta inayofanyika leo, Kupitia instagram Diamond Platnumz amepot picha hiz akiwa mna kipenzi cha roho yake Wema Sepetu makipeana malovee laivu, hahahaha wanapendana bhana cheki hapa diamond akimla romance Wema Sepetu laivu
The Super Star Mwenyewe Diamond Platnumz akimkiss wema Sepetu
The Super Star Mwenyewe Diamond Platnumz