Diamond
Chukua hiyo,miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Stamina,Madee,Dogo Janja,Jokate, Nay wa Mitego,Nyandu Tozi, Mr Blue, Diamond, Chege na Temba na wengine wengi. Hizi ni picha za show hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Tazam apicha hapa zaidi kujionea
Barakah Da Prince
Chege na Temba
DJ Fetty na Adam Mchovu
Diamond na Linah
Diamond na Linah
Diamond na Linah
Diamond na Wema Sepetu
Source:Bongo5