NEWS

15 Agosti 2014

Wimbo Mpya kutoka kwa Roma Aliomshirikisha Bob Junior - Maumivu

Ule wimbo uliokuwa ukisubiriwa na wengi kutoka kwa Roma aliomshirikisha Bob Junior na ngoma yote kufanywa na producer Bob Junior mwenyewe , ngoma inaitwa Maumivu, sikiliza hapa