NEWS

13 Septemba 2014

Kisirani Champonza Lulu Michael…Tajiri Wa Madini Ammwaga


Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto wa kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa naye.



Inadaiwa Lulu hataki mchezo, mwanaume akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Taarifa zinadai kuwa miezi ya hivi karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi akammwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmoja wa madin toka Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu baada ya Lulu kama kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo.


Chanzo kimoja kikizungumza kwa sharti la kutotajwa jina kimesema:


” Lulu ni mtu mwenye kisirani kwa wanaume, hadumu nao, wengie wanaokuwau nae ni wale wavumilivu sana. Nadhani ana matatizo ambayo yanahitaji mtaalam wa saikolijia ya mahusiano, akizinguliwa tu hachelewi kuvunja simu na kurejesha kila kitu alichokuwa amepewa”