Lulu Michael nae ameingia katika list ya wasanii hao, Juzi Kapost picha hiyo Hapo Juu akionesha zigo la Pesa...Je ni Sawa kwa staa kama Lulu Kufanya Hivyo au ni Ulimbukeni wa Pesa?
Kumezuka katabia Kwa Wasanii Mastaa Kuonesha Pesa zao Kwenye Mitandao ya Kijamii Kama Facebook na Instagram wanapozipata kwa Mkupuo ,