Hongera zao
Nipe Michapo Imefanikiwa Kupata Picha za Waanzilishi wawili wa Mtandao Mkubwa East Africa wa Jamii Forums ambao ni Maxence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi nilivyokuwa nahamu ya kuwaoana, Jamii forums ni mtandao ambao watu huingia na kujadili mambo mbali mbali kama Siasa, Udaku , Biashara n.k
Hongera zao
Hongera zao