Mtangazaji maarufu nchini Tanzania wa kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds FM, Hamis Mandi maarufu B Dozen leo amewataja mastaa wa bongo ambao wameweka rekodi kwa kuwa na magari ya gharama zaidi zaidi.
Orodha hiyo yenye mastaa 12, ni mjumuisho wa mastaa kutoka katika tanzu mbalimbali za sanaa ikiwa ni pamoja na uigizaji na muziki na utangazaji. Katika orodha hiyo wasanii wa muziki ndio wanaoongoza kwa wingi wa kuendesha magari ya gharama zaidi.
Hii hapa ni orodha ya mastaa 12 wa bongo wanaoendesha magari ya gharama zaidi. Baadhi ya picha zilizotumika ni za aina ya magari wanayoyamilika lakini si picha ya gari lake.
10. Emmanueli Elibariki a.k.a Nay wa Mitego- Prado Land Cruiser
9. Idris Sultan- BMW M3
8. Joseph Haule a.k.a Profesa Jay- Toyota Land Cruiser
7. Madee Seneda- Toyota Prado
6. Ali Kiba- BMW X5
5. Nurdin Bilal Ali a.k.a Shetta na Gadner G. Habash- Land Rover Discovery 3
4. Wema Sepetu- Range Rover E Vogue
3. QuickRocka- Range Rover Sport
2. Diamond Platnumz na Masanja Mkandamizaji- BMW X6
1. Masoud Kipanya- Hummer H3
The post HAWA NDO mastaa 12 wa bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi appeared first on The Choice.